Fuel maandamano

Wanakijiji watukufu. Ni kweli vile naskia ati monday tunaingia kwa streets kurusha mawe juu ya hii maneno ya fuel price hike? Pia naskia kuna vile huyu Rotich atabumburushwa kutoka ofisi yake na kuoshwa na crude oil ndio apate adabu. Pls clarify wenye wako na habari.

Hii ni porojo ya middle class pale social media wacha ifike hiyo siku uone kila mtu anajifanya kama haikuongewa.

umesikia wapi tuanzie hapo

Hubrisssssssssssss

QUOTE=“gashwin, post: 1802724, member: 542”]umesikia wapi tuanzie hapo
[/QUOTE]

Mtandao.

Fesbuk

Mtandao.
[/QUOTE]

lete rink basi

lete rink basi
[/QUOTE]

Go to Motorists Association of Kenya fb page.

Napita tu

Ulipata makao?

Yeah bruh mdogo mdogo nimeanza ku get back on track thanks.

you expect a “you guy we happening today?” anonekane kwa TV akirusha mawe let alone kucomplain about fuel prices ajitoe marks kwa maslay queen zao? they had a chance to voice their opinion a while back but wakachicken out sai let them reap the fruits of that, 125P/L

Baba anatuangusha Sana tangu akule mbirions saa hii angeleta shida rotich akunje mukia umbwa yeye

Kama baba hajasema hakuna demonstration.

Keyboard warriors manenos.

Middleclass need to standup! Come together. Kama wawezi tumia fujo, they can use their brains, society deems them smart afterall. Guys just need to sit down and think of ways. Put d*ck measuring aside and think of smart ways to counter this. This segment of Kenyans has all the brains to beat such things, Lawyers, Marketers, Strategists etc, shida ni kujifanya and these things hurt them the most!

Nani alikwambia wewe ni middle-class.Hiyo suti umevaa yaonyesha you still have a long way to go :D:D

in my eyes wewe ni kuma ya umbwa imekufa na ukedi

:D:D:D

Mlimsho he WNBP remember?