fungeni kanga na mkae kitako

leo kuna fala ilikuja kortini roho juu. the guy had no lawyer juu alikuwa anadai “hii ni kitu ya haraka nirudi job.”

Apparently he was dating this good looking mama. enyewe ata mimi nilimeza mate, Giggity.

kwa hivo woman hakuwa amemwambia ako na watoi wengine watatu. after dating for 4 months jamaa akadump yeye na ball ya miezi tatu.

Dem was in court to ask for alimony. Msee akaulizwa hii iko ndani ni yako.

akasema ee ni yangu lakini wale watatu sio wangu. mimi simtaki. Guy was being arrogant. Judge must have been arguing with his arrogant teenage son that morning juu alibadirisha sura akakuwa kama nyoka.

He ordered the guy to pay for maintenance of all the woman’s needs and kids . He argued they were husband and wife under customary law and he had accepted responsibility for her offspring the day he wifed her.

in his own stupid admission she was his wife but alimuacha juu ana watoi.

hehe wacha msee aanze kulia. Jaji alisema akikosa kucomply he will go to jail for two years.

in short, never go before a judge without legal representation. utajua hujui. alafu kamua na CD anytime anywhere and NEFA send money through mpesa on ga regular basis

Court clerk ndio unamaliza transcription.
Wacha niende hio 2yrs jela

:D:D:D:D:D:D:D:D

Sema tu huna pesa hata ya kulipia umbwa mifupa

Anajuaje huyo ako kwa tumbo Ni wake ?

That is a very wrong interpretation of the law!

Appeal pap

hakuna appeal. he admitted. final and closed

Only 2years in jail??.. Kifungo ikiisha nikuwida huyo mjamaa ki yeye ki mimi.

the guy has another family. imachiiin

If a woman never revealed she had other kids (fraud) how can he be ordered to take care of them? Ndio nilisema juzi judges pia huwa na meffi kwa kichwa.

Hiyo ni shida ju ya mashida. All in all hiyo jamaa ingekubali kupoteza family n everything, naye muamuzi akae akijua ya hapa chini watamalizania hapa hapa…

Hii sasa ndio huitwa nuksi juu ya nuksi.

that’s why you need a wakili to present the facts

Sounds like a made up story. Judges make decisions based on facts, not assumptions. How does dating for four months turn in to a customary marriage? And how do you assume responsibility for children you didn’t know existed?

Folks sentenced for capital offences in Kamiti represent themselves during appeals and surprisingly perform better than trained lawyers.
This is stupid advise from a stupid case.

The law says the cohabitation must be for more than 12 months fir him to acquire parental responsibility. Another thing the guy was not maintaining the kids he did not even know they existed. Either you did not get the facts right or that Magistrate just wants to frustrate the guy.

Or the magistrate was the woman herselfu.

Hii Ni fake. How can a court jail someone who has refused to raise someone else children? Where is the father of the children? Why can’t the mother raise those children?

:eek::D:D:Din court, play the victim and milk it hadi judge akuone in positive light