Furahiday: Hapa ndio herbal imetufikisha

Koolibah

Village Sponsor
#1
So nimeona hii peasant poison ya eabl via udv nikaulisa form ni gani. Nikacheki label, ingredients ati iko na chamomile, thyme etc. Nikajiambia Koolibah? Eeh! Si wewe tu ndio umetafuta hii doh against a background of smoking teargas na mawe za Katwekera? Ndio baba. Bas si tujaribu hii maneno. Orijin(al) IMG_20171013_150525.jpg
 

Top