Furrahiday wazimu

Juu leo ni friday wacha niwaangushie hekaya ya friday. Btw hekaya zangu zote ni from experience kama huamini pia unaweza soma zingine.
So back in campus on a certain friday sikuwa na form kabisa. But pesa nilikuwa nayo hiyo siku. Ukiwa na pesa huwezi kosa form but hiyo siku ilikuwa imekosekana. Uzuri classes za friday zilikuwa zinaisha mapema kitu 1. So tulikuwa boys watatu mmoja akatuchapia venye hamna form si mnifikishe tao nikadrop bahasha fulani. Tukasema ni sawa sisi tutafika tukule sonford yeye akiwa shughuli zake.
Kufika kule sonford huyu boys wetu akakawia sana. Kuboeka nikatext dem fulani tulikuwa tunaongea but aliniruka. So kumtupia ka hey pale IG akaanza ooh pole btw anataka kumake up for standing me up. Hadi akanishow kama ni tao atakam baadaye nikasema poa. So si mimi tayari nishapatia form. Tukarudi na maboys ngara hao wakaenda kupiga macup. Nikasema wacha nipige mbili nikingoja ule dem afike. So story zikashika boy mmoja akasema hawezi boeka friday. Akapigia crush wake akasema waende cocktails at the same place I was to go.
Dem kufika nikatoka ule boys wa mwisho akasema aii zii akacall dem wake kama last option. Meat is meat ata kama umekula sana. So kufika nikapata na dem ameiva mbaya kwanza jege alikuwa anabeba but ile nice si ati dem mnono. Tukaenda base ya cocktails ingine hapo murwa siwaambii ni gani ndio mtu asinijue. Anyway tukakunywa tukaanza kuwa tipsy. Later on ule boys wa kwanza na crush wake akakuja and then ule wa dem wake akakam. Saa hizo form imejipa mbaya. Kitu ma 8 to 9 ule crush wa ule boy akasema yeye lazima afike home juu alikuwa na ride haiwezi lala nje. Akatubeba akatupeleka pahali tulikuwa tunaishi. I used to share a flat with one of my boys like different floors.
Thoughout hiyo safari ndogo dem nilikuwa na yeye alikuwa manjaa my hands zilikuwa zinatembea kwa majege tukimakeout. Kufika tukaenda na ule dem kwangu sex ikaanza. Sekete ilikuwa fiti siwaezi chocha but pombe mingi ilikuwa involved. So after hapo ule dem nikama alikam to her senses or maybe alipata alichokujia akasema mabesthe wake wako club fulani anadai kufika. Akaita uber akaishia sikuwa na shida juu after all I had gotten what I wanted.
Nikaenda kwa ule beshte yangu mwenye dem. Kufika nashangaa napata mjamaa ako na madem watatu. Turns out after dem wake aone kuna form pale cocktails akaita mabeshte wake. So kumbe nilikuwa narescue mjamaa. Alafu ule boys wa crush sijui alienda mtaa. Kuna dem mmoja hapo alikuwa amenibamba sana. Alikuwa petite with perky boobs na rangi ya chocolate. She’s what 90s and early 2000s rnb vixens looked like. So tukabuy mzinga nikaanza kukatia ule dem. But sasa blunder akasema ako na chali at first akanishoot down. But I was too drunk to care. Huyu dem alikuwa anashinda akicalliwa na boy wake evry 5 minutes but nikasema haidhuru. So tukachochana twende club alafu tukiwa ule boy wa tatu akam ndio bill isituumize sana.
Kuingia clabu bado boy wa huyu dem anampigia kila 10 minutes. But after tukabuy drinks dem akasema fuck it akazima phone. Nikajua hapa kuna venye bet inaiingiana. So tukaanza kudance dem ananigrindia hadi ikafika point ananipea lap dance. After more shots dem anakuwa tu freaky naambiwa vitu kwa masikio. Eventually tunatoka club kwa uber saa hizo tuko backseat makeout session very dirty.
Tukaenda to my place na nakumbuka vizuri nilikuwa tu na CD moja remaining. Nilikuwa naomba isiburst or kutoka. So kwanza dem akasema anataka kuoga nimpee tshirt avae afterwards. Kuoga akatoka amevaa tu hiyo tshirt no bra or anything. I couldn’t rejista and within seconds she was moaning very loudly. Hapa dem alikuwa anajua kazi nilikuwa nampendua kila style na yeye bado ako game. Asubuhi kufika nikaraukia chemist because I had 5o confirm and I did severally.
Na hivyo majamaa ndio I banged two girls on a friday yenye sikuwa na form kabisa.

Wow hakuna mtu amesoma hii hekaya, it must be really bad

Mbona unaitwa hmmmmmm

90% ya talkers ni walevi na jaba

He he he…
Dont know what have read…

pass

Ni jamaa wa bangi

Very incoherent, lacks flow.
You must be a noob story teller, what were you studying in college-You cant communicate
Is this how you communicate to your hoodrats

Ghaseer nyinyi mna complain na mmepewa hekaya

Hujatwambia chenye kilifanyika after the boyfriend ametafuta kunguru yake akaipata kwako… Did he try to cut your balls??

Sijui sikuwai chukua number yake.

Kuna game fulani kuna vitu hutoa hiyo sauti. Huwa naiassociate na kufikiria sana.

Andika yako.

Writing skills zako ziko down sana, mwenye amesoma atupe summary.

Summary: Jama ate his girlfriend and ate your girlfriend too same night… Na wewe hio usiku ukagurumisha nduthi

Alaa! I stopped reading pale alisema eti wewe unavaa pampers

Dog!!

Hata Mimi…i got lost somewhere

Mawazo yenye rutuba!