Fursa kwa watanzania nchini Nigeria now

[ATTACH=full]176352[/ATTACH]

Source : TanTrade

Okay!..

Jambo jema hasa kwa wajasiriamali,fursa kama hizi sio za kuachia…

Sawa

Nikajua kuna nafasi za kujiunga na boko haram

Si ndio hapo, nulikuwa nataka kuanza kufuga ndevu

Hizo nafasi zipo bwereree, wewe tu

ha ha ha, kamata fursa.

Hahahaha duuh

Siwezi kukaa wala kuishi Nigeria

Kusambaza habari kama hizi unatakiwa uwe na leseni,kwa mujibu wa TCRA:eek:

Sio lazima mpaka Nigeria…
Tanzania yenyewe kuna fursa kibao lakini watu watazijua vipi kama DHALIMU anazima mitandao muhimu kama jf…
Pumbavu sana CCM.

Aende mwijage na cherehani zake kwa mtoto Dangote

Mpaka wametoa nje ya familia za kwao. Ujue cyo dili tena