Gado

Kimakia

Village Elder
#24
Siku Ile utagundua class training and real fighting are too different things, utakuwa na black eye macho zote mbili brown skin.
Ukuje kijiji yetu uulize Kimakia ni nani,they will tell you who I am in whispers.Mimi hapana tambua raia,courtesy of Judo class of 2001.Na je sasa nikirudi Wadi Degla kuimprove skills,nitakuwa naingia huko kichakani kuua ndovu mnaplead na mimi ni wache.

Hata hivyo wacha niulize swali,do you guys use some bullets I have seen in movies used to neutralize big games such a elephants..Yaani a bullet so big that ikishoot mtu it leaves a hole ikitokea upande ule mwingine
 
#26

Naona sasa Wewe ni poacher based on the above quotes....kwani village ni Abadares?
 
Kimakia

Village Elder
#27
Naona sasa Wewe ni poacher based on the above quotes....kwani village ni Abadares?
Hapana,huyo jamaa huwa warden,ni wachokozi sana,ati ata kupapasa monkey ni hatia...Sisi hu poach zile zimevuka fence zikaja kutusumbua kijijini.Hao ma warden wakikuja kututafuta wanapata tuko na nguvu ya kuwachafua.Mimi sijafanya hivyo lakini nimeona wawili wao wakichapwa kama burukenge huko Nakuru
Wanakuwaga bure bila gun by the way...
 
Top