Gamblers

[ATTACH=full]149409[/ATTACH] Leteni maoni na slip zenu…
@1776 @123tokambio @hakimoto

Na wengineo

izo odds za barca ni ndogo sana.

agreed. aitoe.

wacha niangalie. since 1777 came along I haven’t had time to sit and analyse.
anaogeshwa saa hii so wacha nione nirudi na zangu.

Ongeza PSG na Porto kwa hiyo list. Barca toa Over 2.5 weka HT/FT. Lastly, toa Madrid.

@sludgist kale kabet ka barca na celta uliuma nje

Nunulia wajukuu maziwa badala ya kutajirisha karuri mbuzi wewe

Kaliuma nje …mungich mjinga

Mimi mambo na team kubwa ya Wenger sigwes na sigwes. Am sure they will win, and i hope they win, but with the transfers here with us, some players wanawesa potea…

Mimi @MISCHIETH ata fees naweza kulipia

Na ucharge simu ama huna stima :D:D

Mimi kama bet haina odd ya 2.0+ siwes weka .

Charge simu ngiite

Sawa mtoto katiri