Game Moja Tu: Sounds Cliché, right?

aleki

Village Elder
#1
Hii laana ikemewe na ilegezwelegzwe kabisa. Leo nilijaribu kuekeza kijisehemu cha kipato changu kidogo aghalabu 'nizalishe' ila Leo haikiwa siku yangu. Ka game kamoja tu kameniangusha... Screenshot_2017-08-19-20-16-36.png
 

Umashi

Village Elder
#4
Hii laana ikemewe na ilegezwelegzwe kabisa. Leo nilijaribu kuekeza kijisehemu cha kipato changu kidogo aghalabu 'nizalishe' ila Leo haikiwa siku yangu. Ka game kamoja tu kameniangusha... View attachment 120676
The secret here is you first identity potential win matches, let's say 10 matches then divide into groups of 3 each which you can now place the 3 multibets and 1 single bet.....thank me later
 

Top