Gargoyles

#1
In the 90s this was one of the best katuns we used to watch and it was so nice . sasa niaje they have never made its movie ? wanaunda movie za ujinga ati sijui antman , sijui deadpool sijui MADMAX pure nonsense . mbona wasituanguishie movie ya Gargoyles . Gargoyle inaweza chafua hata Wolverine . hata kama ni ya disney waangalie waangushe hii movie atleast wazeee tukumbuke . pia comedy ya johny bravo turushiwe heshima idumu . ni hayo tu kwa sasa .
 
#16

Hii ni katun moja sige-miss, i guess the reason why there are no movies is due to copyrights or some like that. Hata pale YouTube you have to pay for youtovwatch any episodes.