Gari ya machozi.

Kumbe hio maji huwa ndani ya hio tank huwa ni maji ya mtaro. Ndio hao civil servants wana jaza tank… For tomorrow.
https://scontent.ffjr1-2.fna.fbcdn.net/v/t1.0-9/fr/cp0/e15/q65/22310564_2063584510319209_1549557251390971841_n.jpg?efg=eyJpIjoidCJ9&oh=9edddb26ed5bd6b377235c0d719117b2&oe=5A79F2B9

Hahaha alafu huwekwa pilipili ikikugusa my fren unajikuna kama umekojolewa na warthog

why waste clean water on fellows doing a dirty job? Maji safi Nairobi ni nadra sana.

Wanarudishia raia ile mkojo walitema.

kuna watu watarudi makwao wakinuka meffi

Za museveni hukuwa zimewekwa maji ya sewage achana na hii ya pilipili. Ukipigwa unanunuka ka septic wiki moja.

watu wa demo a few years later watakua wana changa pesa ya kuenda India juu ya skin cancer

infact inafaa kuchotwa Ruai kwa sewerage treatment ponds.
*** shida ni nijipate nimeshikika kwa ndemos***

With all manner of debris being sucked in hizo lorry will be out of service soon.

Sijui kama mtu aneza weka kiasi kwa chupa ya kumwagilia wezi wa simu…

If it can be sucked in there’s no problem being shot out at high pressure. GiGo. Wewe jua meffi tanker is here to stay hata ukiomba it breaks down.

Kikiki

They should also hire exhausters…
:D:D