Garissa

Msito ameingia garissa…mnipe lokeshens nioshe rungu manze

Halafu naona River tana iko down saaana[ATTACH=full]254520[/ATTACH]

Just jump into R Tana…umetusumbua na upus ya Lanye

Hizo si ni kunguru hapo juu ya tana river…safisha mecho

KILA MTU AKULE KWAO

Kwani wewe ni turn boy wa trailer

Na vile naingia Dadaab for the next one week
Ntakufa na dryspell aiseeeeeeeeeee
Leteni contacts nioshe rungu

Kunguru ni mingi kila pahali dunia hii. Fungua macho kabisa utaziona.

Enda pare DRC Kuna mashimo mingi ya pombe. Mizoga huland hapo at 10pm. Alternatively, enda Town Club and kwachua a nice juicy garissa university girl, mununulie guarana na chips.