nilikuwa nimebuy kanyama iyo siku...na minji na mkate ile kubwa since sikuwa natakaa kula sembe iyo siku....uyo sparta amewekelea maji to boil minji ndio ziwe soft, as l prepare ingridents za kukanga nyama.....kitungu nyanya na dania...
apo naskiza music nikisema vile nitashiba juu ata lunch nilichapa long jump....
kuenda kucheki minji napataa ata haijakuwa moto maji... kuangalia gas inawakaa with shiny eyes...nikajuwa hii iko karibu kuisha
wacha nitoe minji niwekelee nyama chap chap atleast nitakula na mkate
kuweka nyama ata haikuenda 5 minz ikazima
vile it was late na budget ya refil haikuwa iyo siku sparta alikunywa maji na mkate.....apo ndio nikajuwa kumbe ni muhimu kuwa na juice kwa keja