Gas kuisha ukipika

leta heka vile gas ili ishaa kama chakula haijaivaa… :smiley:

Hehe…tuanze na wewe. Imekuishia?

nilikuwa nimebuy kanyama iyo siku…na minji na mkate ile kubwa since sikuwa natakaa kula sembe iyo siku…uyo sparta amewekelea maji to boil minji ndio ziwe soft, as l prepare ingridents za kukanga nyama…kitungu nyanya na dania…

apo naskiza music nikisema vile nitashiba juu ata lunch nilichapa long jump…

kuenda kucheki minji napataa ata haijakuwa moto maji… kuangalia gas inawakaa with shiny eyes…nikajuwa hii iko karibu kuisha

wacha nitoe minji niwekelee nyama chap chap atleast nitakula na mkate

kuweka nyama ata haikuenda 5 minz ikazima:mad:

vile it was late na budget ya refil haikuwa iyo siku sparta alikunywa maji na mkate…apo ndio nikajuwa kumbe ni muhimu kuwa na juice kwa keja:(

Long jump is killing me.:D:D:D:D:D:D:D

:smiley: :smiley: Man, pole kwa masahibu. I never discarded the kerosene stove I had before ‘upgrading’ to gas, has come in handy in the past in such a scenario.

l learnt the hardway:( wanted kuenda na sufuria kwa jirani nikapikiye kwake nikaona nijikazee sitaenda kusumbua watu na nyama ya soo moja:D

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D Sparta I am trying to go to bed oggeeeeeiiiiii stop pls. Ni wareire mugate kafu…pls …

:D:D:D Ungekuwa na mtoi ungeenda. I’ve seen it happen. Gas imeisha wakati unasonga ugali bana na junior ndiye huyo anadai haki yake.:smiley:

hizi masaibu unajuwa ladies hamujawai pitia, juu kama ni gas yako ili isha u text sparta anakopa mswari anakuletea avacado na mahamri

apo igekuwa tricky…nigewasha candle nne na upisi iresume

Hahahaha

hehehe I hope later on after kupata some little extra cash you bought an extra gas cylinder that is always filled to avoid these late night “inconveniences”. anyway nice hekaya

kila mtu si birionea kama wewe kuwa na mitungi mbili full za gas

Ng’ombe wewe mtungi ya gas ni cheap kuliko hizo jameson unanunulia ma Rhino kila weekend

Yangu iliisha nikiboil rice. Back then pale kisauni, sa usiku ikifika 10,huezi toka juu ya mateja na hakuna kibadaski hiyo base… Nikaamua kutumia water heater nikaeka kwa socket na kuanza mwendo. Mchele uliiva after 2hrs na juu njaa ilikua yaniua, nikakula rice na tomatoes mbichi.

:D:D:D:D:D
huwa niko na meko mbili, as a result of many nights of kula mboga tupu after gas kuisha just after nimeweka unga kwa maji…

Back in the day tukianza life pale roysa kuna time tulikuwa tumesota viajab. So hiyo day hatukwa hata na form ya supper so kazi ilikuwa kubrainstorm vile tutaget mkwanja angalau ya supper. We eventually settled on kuuza magazeti tulikuwa tunabuy kila wednesday na friday coz ya ads za jobs. Tukazikusanya na kupiga estimates za weight na how much tuget and how we plan to spend. By our estimates for the like 10 kgs tuliexpect 200+. Sisi hao huko Lumumba drive tumepiga raundi tukisaka wale wamatha huzibuy. Giving up was not an option coz coz tangu ngware the only thing tulikuwa tumekula ni story pekee. We eventually got lucky na tukaget mmoja. Alipoweigh zile burungo zikawa 5kgs. Tukazusha kiasi bt yule matha akawa mjeuri akadai take or leave it. No option bt kuchukuwa ile doh ingawa hiyo scale yake ni kama ilikiwa imenyongwa tu sana. Spring haikuwa inamove kawaida but anyway. Tukadungwa soo na we had to rebudget. Eventually tukaamulia dengu za 20, skuma ya 10, nyanya na vitungu and all remaining chapos. Kufika keja teke teke kuslice tomatoes na kitungu na kuziseti kwa nare. Dengu zilipoanza kustick kiasi boy wangu akaziset maji ya stew/gravy but akablunder na kuweka maji mob. Makosa. Gas ilikatika hata maji haikuboil. Tulikunywa hizo dengu na chapo na skuma kama salad.

:eek::eek::D:D noma excess

Hata sketch ya rhino

Ndio m

:eek: Boy child hupitia masaibu mengi.

Say no to slay queens.