Si mnajua they both support Chelsea. Wanakaza Kiyambis Chelsea isichapwe kichapo ya burukenge. Wanajifanya hawako online kumbe macho moja iko hapa na Ingine kwa mechi.
[ATTACH=full]213897[/ATTACH]
Ndio hao hapo… PS tuko nyuma ya Man City
WARNING : NAMES HAVE BN CHANGED NDIO TUSIKUWE REPORTED FOR CYBER BULLYING NA U KNOW WHO