watu wamagatheti tumehama
mumehamia wapi plzeeeeeeeee
Mulihamia wafi?
Anti-awareness all over!!
Wapi, wait fooooor me am coming , please wapiiiiii?
Where’s they new home?
wapi tukwom?
to where?
si utengeze meme ya kuuliza hiyo swali :D:D:D:D
update us please…tumfate
mumehamia wapi?
We have a secret society. Invites ONLY!
Tunawasheki kutoka 18
Kindly invite me
Na ni ma mono ndiyo wanataka gatheti.
NO INVITES for any MONO. without interrogations.
1 Like
Iyo pesa NMG, SMG e.t.c waliwalipa eti copyrights watatii. Watufuate dark web waone. Virusi sitanyeshea izo machine zao/zenu noma sana.
1 Like
Yep!