Gaza mi seh

c lazima uibe mali ya mtu hati ndo ujiite we n mauru,fanya kazi yako bradhe ukule mali yako…haina haja upigwe risasi bure juu ya kuenda kuibia mtu…napenda sana hawa mandugu wangu wenye ukula tuu jasho yao hata kama manguo zetu zimetaruka lakin n zetu…#kureform_ndo_form vijana kuleni jasho yenu
[ATTACH=full]128763[/ATTACH]

wewe ni yupi hapo?

Hamunanga fiatu?

GULLY !!! Gully till death. Gully Mi seh!
[ATTACH=full]128783[/ATTACH]
https://www.youtube.com/watch?v=89AMa7YDANg