gazeti

sijaitense siku kama ya leo.

so kuna dame anakuanga neighbour mtaani. na budake na budangu wanajuana. obvious huezi kosa kujua neighbour wako. so buda ya huyo dame anakuanga karau na atakangi kuona huyo dame akiwa na boy. dame anaitwa Benta. huyu dame anakuanga mrembo sana na mimi huko nachezanga safe mbaya. dame mwenyewe tumepigana mate lakini threshold bado haijafikishwa. threshold ni tricky manze juu dame mwenyewe ni kama kuku ya grade kufungiwa tu kejani.

leo sijui ni shetani gani ameniingia. dame akanitext niende kwao juu mzae wako hayuko na mimi na akili yangu nikaenda. kumbe mzae wake alikuwa amesahau kitu akarudi akiwa amepanda nduthi dame naye hakuwa na time ya kunishow mzae wake amerudi juu alipatwa off-guard. mimi naye na ujinga yangu nishaingia gate juu najua mzae wake hayuko. nikaenda hadi kwa mlango nikaona wacha niknock tu ndo iwe heshima. kuknock tu ivi nacheki mzae wake amekam wee sijaitense kidogo nijikunie. akakam akaanza “kijana naeza kusaidia aje?” (input heavy accent)
“babangu alikuwa amenituma kama ukona gazeti ya jana unisaidie nayo”

“gazeti iko wacha nikuletee” akaingia akaniletea gazeti. “na usalimie babako”, saa hiyo mzae wangu ako Bungoma workshop.

nilitoka hapo nikasema walai sitai kanyaga kwa nyumba ya dem yoyote hata kama ni yake zii. heri tu akuje kwetu.

How old are you? Tuanze hapo.

Hii ni handle ingine ya youth @Mzee mzima

Mzee mzima has dozens of handles

thank you village elder for your hekaya

nice hekaya .Na usalimie babako akirudi

Ungekuwa kwa obituary ya gazeti ya Leo. :smiley:

I usually suspect that you are the self confessed pussy sampler @kaimera

wacha tu

LOL nice comedic twist with the Gazeti, ungekuwa kuni Hell leo jioni courtesy of his RKO

Utahama lini kwenyu and don’t tell me you’re too young to hustle and look for a one k dueling place.

Kijana toka kwa mzazi.

Hamia hata bedsitter udinyane huko

Boyshaud akifikiri na kichwa ndogo badala ya kichwa kubwa.:D:D:D:D:D

Hata naomba tu ungemtangulia kwa nyumba ndio akupate vizuri!! Tungekuwa tunaulizana kama hii handle imeenda Siberia ama vipi

hii imenikumbusha enzi za high school nikiwa kitu form 3. ni time ya holiday niko uko home halafu kuna dame nilikuwa nakatia na kukamua immediate home neighbour alikuwa amemaliza shule an year earlier. baba ya huyo dame alikuwa principal wa high school na kuna vile alikuwa mjeuri na maringo kibao, juu alikuwa among watu wana kakitu kwa hood. ule mzee tukipatana kwa njia alikuwa ananisalimia na matusi juu ni lazima angeongezea jina kipii kwa hzo salamu. (Niatia kivici). sasa kuna siku kuna watu wako works hapo kwa shamba home, nikatumwa duka nikachukue unga ya ugali na mboga ndio wakam mathe awapikie lunch. nikiishia shop nimepatana na yule dame, halafu ameniambia juu hakuna mtu kwao tufike nichape shot ya haraka halafu niishie shop atanipatia bike yao.

hiyo form ikani nice kwanza hyo part ya ka quickie. nimefika ile place tumeingia bedroom halafu ma romance zimeshika moto. kidogo tumeskia gari kwa gate mzae wake akifunguliwa na msee wa kazi. wacha dame aingize baridi na aniambie niingie chini ya bed hadi ikuwe safe kutokea. mzae wake alikuwa na ka gazebo hapo kando ya gate na akaingia hapo kukata maji aki admire boma yake. dame akakam akanichapia itakuwa noma kutokea juu mzae wake amekaa huko side ya gate, place compound ilikuwa na fence ya mawe design singeweza kuruka. dame akafunga room yake na funguo halafu tukaanza game hapo chini tukimake sure sauti inatoka ni the minimal possible. kutoka kitu 12 hadi 5 nilikuwa kwa ile room na nilipata chance ya kutoka vile mzae wake aliita dame akamwambie ametoka kidogo kufika baze kuchukua nyama.

mimi nikatoka mbio na kukimbia shop na kubuy vitu nilikuwa nimetumwa na mathe. kufika home mathe aliniona akaokota fimbo na kunitoa mbio. niliambiwa niende na nirudi nikimaliza kukula hiyo unga na mboga zote. nilirudi baadae ma mathe hakuwacha kupiga kelele hadi time alienda kulala. mimi hushidwa huyo msee angenipata, ningepigwa vita ya aina gani, na ningeelezea mzazi nini

:D:D:D:D

Hehehe wapi Ile GIF ya Idi Amin

No I’m not and l have a suspicion you are the homosexual njambahuthu

Kijana hamia bedshitter ufanyie uhuni huko

kijana anataka kuleta msichana kwa bedroom ya…
ama wacha tu.