Genge TBT

Leo najikumbusha hii:

‘Nilikuwa kwa matatu,58 Drama
Pale Tom Mboya,karibu na ludhuli,
kaingia mwanadada,
msichana mrembo,
toka jerichoh,
angalia dada…
Nikampa talk,akanipa more,
Sikumpa doo hakutaka doh,
Nikampa flow akataka show,
Nikampa show,akanipa lowve…’

wenye tunajua chorus…ilikuwa inaendaje?

Napenda choo za towni,
Ziko na viti, waweza keti …
Na tena ni safi ndanii …
Waweza kula chapo na pizza

Napenda choo za mashambanii,
Uta inama inama, uki pima pima …
Na tissue huwa majani …
Itakuwasha washa ukishatumia

https://www.youtube.com/watch?v=bivkrpWEEug