• Happy New Year, and Wishing You A Productive 2021

Getting ready to leave,

#6
hehe..@kabuda ndiye anajua. The one with the car keys ndiye kuongea. Let everyone else prepare wewe ukiwa umejiwekelea. Wakimaliza unaingia dakika tano kwa shower, kuvaa nguo kama navy seal under one minute halafu unatoka. Women just take centuries drawing and redrawing the eyebrows na sijui nini ingine.
 
D

Deorro

Guest
#8

applying makeup wakitoka kwako jioni, unashangaa kwani unaenda kuona nani na hii giza, an hour later she calls " hello niko home, hata natoa makeup saa hizi.........................."
 
D

Deorro

Guest
#9

#10

Slaying issa must 24/7... I have read about women whose husbands have never seen them without make up, atI anaamka before mzee kujipodoa, ( hii ni kujifunga jela in my opinion)
 
D

Deorro

Guest
#11

hii huwa uwongo, unless you got married after meeting for a wek and the huzzy was drunk. Mimi weekdays nitaamka 4 or 5 so lazima nitakuona
 
D

Deorro

Guest
#18
How did you make shave?
I've tried to get mine to shave but she has refused.
nilidhani kushave saves Saloon money kumbe hao lazima waende saloon almost every week to maintain that style, nywele fupi kumbe is more expensive to maintain
 
Top