Mwanamuziki na video queen Gigy Money aliyejifungua mwezi uliopita na kuibua gumzo baada ya kuweka wazi kuwa hamjui baba wa mtoto wake kwani kipindi anapata mimba alikuwa anatembea na wanaume wawili ambao ni Mo J na Stan.
Hivi sasa Diva huyo ameibuka na jipya akidai Baba wa mtoto wake pia anaweza kuwa Diamond Platnumz ambaye siku za nyuma zilishawahi kusikika tetesi kuwa aliwahi kuchepuka naye, Mwanadada huyu asieishiwa drama amesema kuwa “Mo J sio Baba wa mtoto nilishasema Baba wa mtoto anaitwa Naseeb Juma Abdul au Diamond ambaye naona bora yeye awe Baba kwa sababu ni Mlezi wa wana alafu na mimi mwenyewe Mlezi wa wana alafu kingine anapenda watoto alafu alishanichanaga G ukizaa we niambie tu kwa wiki shilingi ngapi”.
TOA MAONI YAKO HAPA TAFADHALI