Githeri Special na nyama Quarter - Supermakets taking over.

Is it just me ama naona supermarkets wameanza kumeddle mud ya traditional Kibandas na mbushary? So last week I was in a certain town, Machakos to be exact nikaamua nitafute some energy drink kabla combi ishike njia on my way back to Nairobbery, Mulleys is the supermarket opposite General 5 hospital. Wueh, Napatana na raia wamesukumana kwa corner nikafikiria ni free shots zinapeanwa. Kuuliza, naambiwa ni butchery. Looking at the prices pale kwa display, they are actually cheaper than wakanyamas butchery, na wamezidisplay poa sana variety to choose. Kama ni matumbo, steak, , ribs etc. hence the msongomano. Im sure ata ukitaka balls za mbuzi utapata.

Haiya, Tuesday mimi huyo na Mungiki fulani, ananishow hebu nipitishe hapa choppies mfangano, nadhani ni mzinga tunanunua. Wueh, jamaa aliitisha Githeri. Mind you its 6 am. Haiya, wednesday Gig ikatupeleka Ruai. Naivas tukaingia around 3pm. Ile msongomano ya kununua sijui hotdogs na Cookies wah. Mostly students kurushiana mistari kabla waende kupeana ukimwi na story zao za dryfry.

Sasa, me najuuliza, hii story ilianza lini? Coz yenyewe their hygiene is tops. Base yetu ya mutura hapa muthurwa naionea huruma bana vile kunaendelea.

Hata nakumatt Si walikua wanataka kuleta mtura

[ATTACH=full]213580[/ATTACH]kuna vile ukisafisha mtura sana inaluz value…so base za mtura bado zitabaki tu

I support.

hehe those supermarket ready meals have saved me a great deal. Unatoka ofisi late you pass by unabeba unaenda nayo home.

alafu kuna vile supermarkets wamerealise this generation inataka kulive large beyond their means.unapata mtu ni peasant wa kawa lakini haezi taka kuonekana kwa kibandaree…so they bringing kibanda to them…

the issue si mutura, hiyo nayo hawawes make juu one of the ingredients ni Giza. But Its like nowadays supermarkets wameanza kuget serious clients kwa cafeteria zao. Coz kitambo kufikiria kubuy chipo kwa supermarket was unheard off

nimekumiss msichana

I was having a chat with a fellow who owns a hardware store. He was lamenting that supermarkets have taken away business from small business owners like hardwares, hotels, boutiques, vehicle spares shops etc yet the supermarket will operate using only one business permit.

[SIZE=2]Lakini wewe DJ Mbach Ruai hakuna Naivas[/SIZE]

Hio chakula ya supermarket nimeiogopa after kuokota a deadly H.Pylori infection in 2016.

yikes!

supermarket gani? hebu waanike hapa ASAP!

Tuskys mimi hununua tu their tea cookies when shopping. Food zingine sigwes buy

The don’t warm the food to good temps za kuua germs.

Peasants. Hamuna microwave nyumbani?

Halafu supers have the worst food handling processes …freezer inawekwa kila kitu so cross contamination ni easy

Plus, chapo zao wanaweka glycerine ya kawaida ndio hata ikikaa days isikauke

Kukula njiani gafla hovyo siwezi.

Ofisi gani …sema patrol

Sitaki cancer

Wazi bitch