GIZA NENA KATIKA NCHI YANGU.

HV NI KWELI HAWA WASTAFU WANAMUOGOPA MAGU?AU KUNA MKONO WAO WA BARAKA?

Scratch my back I will scratch yours

Si vyema kuongea wakati wa kula. Utawasikia siku posho zao zitakapoanza kupigwa danadana.

Table manners

Mlipa pension and other retirement benefits ni nani unafikiri?

kila kitabu na zama zake wao walishafanya yao na sasa ni wakati wa JPM kufanya yake

Walianza kusemasema akawaambia wanawashwawashwa sasa hv ni zamu yake wao watulie tu

wamefanya vzr kukaa kimya ili Rais afanye mambo kwa utulivu

Yes akiharibu kabisa tumhukumu yeye binafsi.lakini tukimwachia aharibu kila kitu tutajuta

Naamini kuna tatizo,kelele zote hizi za wananchi kweli hawazisikii

Wametia pamba masikioni
Nalog off

Muosha huoshwa…

Cc: @Mahondaw

Nadhani huwa anawatolea nje

Hehe, nyi waTz mnafurahisha na matamshi yenu. Table Manners indeed. Maneno mawili lakini yanajibu maswali ishirini. Ndo maana naogopa kutaniana na wabongo. Wanaeza kuangushia furushi la tusi ukafurahi bila kuelewa. Wakati ukifika home unagundua ulitusiwa. Anyway, ata hapa 254 si mnaona wanasalimiana tu wakiminya mahamri pale state house. Wanaelewana.

kwakweli wanachofanyiwa baadhi ya wastaafu ni kibaya sana

Cc @Smart911