Gladiator Spider Hunting

Kuna sub pale Reddit naipenda inaitwa r/natureismetal
Leo tumewekewa hii[ATTACH=full]234474[/ATTACH]
Na hii
[ATTACH=full]234475[/ATTACH]

Swali Kwa washikadau wa Siaya, mbona huku watu wanapenda kusalimiana na mkono. Ukiingia lodging from Watchman to receptionist ana extend mkono, sahii napewe mbili na nina ona the same na waiters

:D:D:D:D:D:D

Juu kunguru akijaribu kutoka hao wasee umegotea wako rada yake
[ATTACH=full]234478[/ATTACH]

:D:D na vile watu wa Siaya wanapenda bangi na changaa. Such people also happen to have cold and sweaty hands na vile jua imewaka saa hii.

It’s a culture thing. They actually get offended if you don’t greet them.

Idleness

Hiyo sub ni moto. Kwa wale wako kwa tours and travels, click bait ideas zimejaa hapa. Thanks

Kwanza hii ni kali. Snakes hunting for fish on a waterfall. Shait!

https://www.youtube.com/watch?v=TNwe0lap0p0