***go cha 'MAKOFI' Kinaongeza idadi ya viziwi.

#1
Ni ukweli usiopingika kwamba huku mtaani viziwi wengi wamefikwa na shida hii kutokana na ***go.
Nimefanya uchunguzi kwa viziwi karibu yangu. Mmoja alisema "nimekuwa nikipigwa makofi na mke wa mjomba" wa pili alisema " imetokea kutosikia baada ya kupigwa makofi na polisi.
Jamii tunapeana ulemavu wa kudumu bila sababu za msingi! kama kuonya jiulize hajawahi fanya kosa na kuelekezwa au kusamehewa?
 

Top