Good news JamiiTalk imerudi hewani

Habarini, mtandao wa JamiiTalk umerudi hewani kwa sasa unaweza kujisajili bila tatizo lolote ili kuperuzi jamiiTalk.
Jisajili sasa kupitia tovuti ya www.jamiitalk.com kisha endelea na mijadala.

Ilikua imepotea? Ngoja kwanza? Ilikua iko jewani kabla ya kupotea?? Kutokea lini haswa? Sijawahi skia kitu lina jina kama hilo

JamiiTalk ni tovuti iliyo tengenezwa.
Sasa kulitokea tatizo uki create account inagoma kufunguka ila kwa sasa iki create account Moja kwa moja unaweza shiriki katika mijadala.
Itazame hapa www.jamiitalk.com