Google Maps...

I’ve always heard guys fussing about Google Maps, i had never used it before, lakini imebidii leo nitumie juu hii mtaa sijawahi kanyaga, i must say i’m impressed…

[ATTACH=full]12602[/ATTACH]

Welcome to the mobile age

1 Like

Hahahahahaha

Nilikuwa team google earth kwa phone bt after kutumia maps…kuhama

hehehehe… Mimi nakuwanga old school, i don’t ask for directions no matter how lost I am.

2 Likes

Here Drive

Maps ni kali, itakuonyesha hadi kiosk ya maziwa ukiwa ocha. hehe.

always comes in handy!!

I once directed a bus driver from the village using google maps hadi akashangaa vile najua nairobi…nilikua…piga left,piga right…hadi tukafika kwa reception ya wedding at the heart of kilimani

7 Likes

Miujipoteza nikiwa kwa nduthi sasa nikianza kutafuta my way back maps ndio tegemeo

Ni poa inakuonyesha hata kama Kuna jam mbele

wee acha zako

the new app “waze” tries to help hapo

mbosiwe, kwani umekuwa wapi all this time.
First time I used it I was in 2008, nilikuwa nimeambiliwa place in westi ni drop cv nikitafuta attachment. Of course sikuwa na smart phone, nikuingia cyber, screen shot, print then you walk with the map

Keyword nduthi:)

Bado sina experience ya kuendesha monster za 600cc kuendelea. Hizo nikajaribu sai ni kuumia najitakia. Kitu niko nayo ni kadogo

hahahahaha i though was alone. back in 2012 when i was still new in nairobi i had to print a google map of some areas in Tao to help me navigate

Ukienda majuu, Google maps lazima. Save an offline copy of the map, then unatumia GPS ukitembea huko

offline tumia Nokia Here Maps

1 Like

Google Maps has more detail