Gor mahia

Hawa mashemeji wanauwa watu after kukula Yanga mashemeji wamekula KMKM 3-1 hii cecafa nakuja Kenya .

Kijana wetu Olunga top scorer

1 Like

Nimehama AFC LEOPARDS

KMKM sasa ni team gani hiyo?

Ndio inaamua ligi ya Zanzibar. NA ilisumbua first half .sasa Temecula team mbili za nyumbani nani atatuweza

KMKM (kikosi maalum cha kupambama na magendo)

@uwesmakei leo haukubet?

Kubet ni wewe masturbator

ama ni wewe faggot

Gor is a big fish in a small pond (KPL).

1 Like

Gor is a good team lakini ma-fans wake ni tothi sana.

1 Like

Little wonder then, that they can’t play football.

So Yanga pia @Mathice na ati gor haina sponsor.

SiiiiiiiiiiTuuuPID…

Gor is putting on a good show in CECAFA, hope their good efforts will lead into a good corporate sponsorship deal, however this will only happen if they can tame the rogue legion of fans who scare of would be sponsors