Governor Loses Kshs.300 Million...

Status
Not open for further replies.

emali

Village Elder
#11
Theft 101....mattress account is the safest way to keep looted cash!
Na musianze kuniambia maneno ya wezi!
Hiyo mattress acc ni mbaya sana..kuna wakati before mpesa nilikua salesman wa chumvi ya ngombe..nikawa weekend nimeuza stock yote..sunday jioni nika ficha 38k chini ya mattress nikingoja monday ni peleke equity..matha wa kufua nguo akacome hiyo siku nikamuacha akifua nikaenda shop..hiyo pesa na huyo mwanamke sijawahi waona hadi wa leo
 
spankedit

Village Elder
#12

Mattress account is just the term used sio lazima iwe practically chini ya mattress!
 
#15
I hate when the media does this...if it involves senior politicians and a lot of cash, no names are mentioned, but ingekuwa ni commmon citizen , they mention all his names, id number, relatives,
pets, girlfriends, wives, height, weight and a picture to boot.
 
Status
Not open for further replies.

Top