Grandpa nirudishe pesa yangu please

grandpa

Village Elder
#10
na re-election ikikam uhuru ameshinda na under 52% how will this bet play out? Itabidi umtumie crates mbili moja ya kurudisha na yake ya kushinda. Mimi yangu Kabogo ensured hakuna petition bana. Wacha nikue CJ wenyu wawili :D:D
Bado elections hazijaisha. Our bet was based on what percentage Uhuru will win by, na saa hii inaenda kua 60
 

Top