Niko Tribeka hii githaa. Kuna sponsor naona akirudi ocha manze. Dame guarana nane na sheesha nimewitness. Na bado kunguru iko sober. Naona sponsor ameitisha black label probably anadai kubea maiti akafyeke…the jk is on him:eek::eek:
leo majamaa wangapi wamekununulia pombe
Uliacha kufloss baada ya kufyeka Malaya?
Mavi wewe @M2Random, umeenda kwa bar kusororo watu? Btw ule buda alikua na gari ya nguvu na anaishi one bedroom na watoto, bado yuko?
ukienda bar
kunywa beer
mind your own business
chokoza mzoga
tip waiters
ukienda choo uyo boy ako uko anaosha muwachiye tip pia
usiwai sema zima music tuskizee news
Die seriously. Kufaaaaa
Shipoto