Guilty Conscience

So leo nimefanya biz fulani - willing buyer willing seller type of business. Nimeuzia huyo mkulima a very high price (X 1.6 of the market price) and I feel guilty as f*ck. Especially nikijua huyo mtu ameng’ang’ana sana kuhustle hiyo pesa. I know that it wasn’t personal and I shouldn’t feel bad about it but I do. What should I do to sanctify myself? Of course I do business first and ask for forgiveness later pesa ikiwa bank. I hope that car serves him well. Car dealers kama mnafanyanga hii kazi there is a near certainty you won’t see heaven.

redpiller unaskia guilty? Bora gari sio ya mashida.
Anyway mbona yeye anaenda kununua gari peke yake na hajui kitu? Ama watu alikuwa nao ni wajinga pia?

Alikuja na bibi yake :D:D:D Lakini gari ilikuwa clean hata. I had bought it for my old man na pesa zake nikiwa carwash mkulima akaiona akipita akasema anaitaka. I quoted an obscene figure to put him off akasema atalipa. Leo ndio amenicall akainunua. Itabidi nitafutie my old man another pick-up.

Who buys an old car bila kufanyisha valuation?

hahaha ushawahi tafuta gari used locally ukaona vile ni ngumu kupata? Unafikanga ukiona ile safi hivi tu unaskia kama umefika canaan. people out there are offering things you can see are junk from miles away for a lot of money. Thats why people opt to pay for overpriced fresh imports. umezunguka yards, umekimbizana na sellers olx mwishowe kupata wanauza takataka. mwishowe kama ulikuwa na mia sita unachukua loan unanunua import.

I sniff beta…ama wacha tu