Gukanya

#1
We grew up enzi ya Kerosene, (mafuta ya Taa)..and there was only one place ilikuwa inauzwa kwa mama alikuwa anaitwa Wamerigo..

Sasa vijana tulikuwa tumezoea gukanya...which mean ukitumwa mafuta ya 20bob unabuy ya 18bob ama 17bob...change unaweka kwa mfuko kubuy bano..

All was going well until njoro started gukanya 5bob ..akavunja rule ya 2 na 3 bob...njoro alikuwa kichwa ngumu...na after gukanya used to buy Gimeduthaa (bano ile nono)...
Sasa sparta juu pia nilikuwa natamani kukuwa owner wa Gimeduthaa nilitumwa mafuta ya 10bob...sparta tukaenda na njoro leo nika amua gukanya ni 5bob kama mzito... Then blunder nilifanya nilianza kubuy Gimeduthaa 5bob sasa nilikuwa na kibuyu naelekea kubuy mafuta...

Kufika kwa wamerigo nilitandikwa na butwaaa hakuwa na mafuta...l was confused juu sijawai skia hana mafuta na ni yeye tu alikuwa supplier ...

Ikabidii niende all the way kabee kutafuta mafuta...unfotunately sikupataa...sasa long journey home bila mafuta...
Kukaribia home njoro akajitoa nikabaki solo...mathee amenichill mbona nimekawiya ivo...nikamshow sikupataa mafuta ilibidii niendee kabee...
Halafu nikamshow nimeanguka 10bob ika anguka....

Mathee naye ni nani.....aliniwekelea war,na aki ingia kwa mfuko alipatana na bano na 5 bob....apo ndio nikapatiana hadithi....
After heka nikatandikwa zaidi...na Gimeduthaa yangu ikachukuliwa :(

That was the last day niki kanya tena :(
 
Last edited:

Who will win the 2022 elections? Ruto vs Raila.Cast your vote!

L

Luther12

Guest
#13

:D:D:D:D
 
WANJIKU

Village Elder
#15

j jioni moja mathe aliwacha dou ya kubuy maziwa asubuhi mezani.sisi morning tukaamka kuenda shule.what I did not know is that my sis alichikua hio pesa .so on the way to school my sis tells me amepewa pesa ni fathe and she goes ahead to give me 10bob.sikufikiria niliona tu picha za zile snacks nitakula.hio siku Jeri market ilijua Niko na pesa.chipo lunch,caramel(hutukua tunajua inaitwa hivo)ice,na jioni kumalizia na simsim na fried fish.kufika home nilipata father ametugoja .akauliza nani alichukua pesa..ile kichapo tuliwekwa ni ya come and see..never trusted my sis with money again.
 
kush yule mnono

Retired Hekaya Master
#16

Hehe .... na hivo tu ndo mlijua hamjui
 
Who will win the 2022 elections? Ruto vs Raila.Cast your vote!

kiprunner

Village Elder
#18
haha made my mind go back to the 90s in land mawe there is this lady who sent me mafuta ya 100 that was enough to fill 5litres kibuyu.I went bought ya 90 little did I know the kibuyu was marked from mafuta ya ten to 100 but nliruka iyo story. nilisema stima haikua so walikua wanazungusha (those filling stations zenye stima ikilost wanaenda manual wakizungusha)ndio maana mafuta ni less.nlikua keen from apo nikitumwa na jirani.izo bano kubwa msee alikua akikam nayo game inaisha
 
Who will win the 2022 elections? Ruto vs Raila. Cast your vote!

Top