Gunia Wiki Hii: Mimi kama Cupid

Nilipewa kandarasi ya Valentine’s na nikatimiza.
@native son , ebrufication tafadhali.

[ATTACH=full]157438[/ATTACH]

Auuuuuuu! @Alchemist hebu kimbia hapa situeshen iko mbaya saidi :D:D:D

he he he,shaitan

Wueh! watu wamemaliswo!

Hiyo kichwa ya wakanyama ni Zika syndrome ama shida ni nini?

:D:DwakAnyama na hii katambi yote na vile ye hujifanya untouchable

ni kukula mzuri

Kiuliso. Cleaver ni ya kazi gani kwa date? Ama ni ya kuua nyoka ?

Kipara One. Shait!!

Kwani unakulaga stock yako?

yaani nef wangu anakaa kitongoji duni?hii ni defamation wadau

Haki ya nani…kiuliso tu…uliona hardon yake itoshane na avocado seed?

hio kitambi haiwezi lala police station, iko insured

Dry spell in all its splendour!
Ni hatari saidi!

Magoti, hooves na maskio haziuzangwi

Stupid juvenile post and for all those who have replied to this fuakin thread suck yourselves to your dicks

Tumbo ni kubwa kuliko…wacha tu. Mkisii leo ni leo…

Explain to me what @Alchemist is doing there. :D:D:D

My evening made.

:D:D:D:D, umesahau kuweka sign ya brocked hapo kwa mlango ya minji minji

For opening the thread and even commenting, Saitan.
:smiley:
Diep.