Gunia Wiki Hii: Nappy Seal na TV

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/waiwaiwaiwaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii-terarium-tv.59468/

Sasa hatutapumua kwa amani.
[ATTACH=full]132231[/ATTACH]

:D:D:D:D:D:D

Hadi akatoa kofia ya dini ya msambwa chehofa wanyonyi israeli khumusalapa

Jamaa alidanganywa ati akiexpose kipara kwa jua nywele itamea.
Ng’ombe saidi.

:D:DKwani @uwesmake huwa na pair moja tu ya fiatu?

Ako na hizo, patipati na rubbers za kukimbia na drum Sunday kutoka Kawangware hadi Kangemi.

Shepatt imewachiliako mkia kwa parapara ikakanyagweko na kifikifi ya intro-car-ni-car.

:D:D:D:D

Namuona akizurura tu hapa kwenye kijiji hichi. Labda busaa imemkolea! Walakin hataki toba!

@introvert kwani hii ng’ombe ya kimilili ilikuleko maindi yako bwanee?

:D:D:D

This is below the belt and below the knees…
Let me take some Finest Muratina as i wherewithal

:D:D:D:D:D @Deorro bana namalizwa ingilia kati but makanika hizo viatu banaa hasifai

:D:D
Jamaa alinidanganya ati anakuja maandamano ya AIBISI halafu akaruka.

‘nimePATAKO tv’

:D:D:D:D:D:D:D:D:D nomaaaaa

hio ni sweep kimpango

si unajua alisema ako na tako moja hataki ikatolewe lead…:D:D:D:D:D

Na nilimbebea extra artillery kwa briefcase.
:D:D

Kumbe yeye ni tako mosi. Watu wa kimilili mutatumaliza

anafanyanga kazi ya watchman [kusimama all day] kama amevaa pams?:D:D

PAMS , hio jina tulitumia tukiwa primary school huko 1940 wacha ushamba