Ya mgambooooooo,
Imeliaaaa
Ya mgambo ikiliaa,
Kuna jamboooooooo
Kulikoniiiii???
Duru zinazotufikia zinaarifu kuwa Kenyagen.com inazidi kupamba moto (Hakuna picha ya ikipamba moto)
Kwa Mfanoooo...
1. Interface ya Opera mini
hapo awali ilikuwa ikongea kiChina, sasa iko timaaaaam abadaan...
Ni hayo tuuuu.....?????
Si hayo tu.
2. Process ya kupost listing on mobile phone
Sasa imerahisishwa. Katika ile page ya kucreate new listing, utapata kuna vidude (ama ukipenda icons) chache tu zile neccessary.
Na process ya kuupload picha pia imerahisishwa kulingana na kitengo cha 2, sehemu ya 5a ya katiba ya Kenyagen
Ilani: Kwa wanaotumia Opera mini, samahanini kwa sasa bado kuna tashwishi katika hali ya kucreate listing lakini tunashughulikia hali hiyo na tutawajuza pindi itakaporekebishwa. Asanteni kwa uvumilivu wenu
Na zaidiii?...
Kuna mabadiliko mengine kem kem. Na mengine zaidi yaja.
Jiendee Jionee
Wako Mkweli - makala ya paruwanja ya Kenyagen

Last edited: