Haaland

huyu mjamaa kumbe ametoka mbali hivi

[ATTACH=full]287124[/ATTACH]

Tupe Historia yake ?

Alikua ana act pprn nini? Anakaa young though hapo

Come on guys…

yes, sizamani alichezea Molde chini ya Solskjær akifuatiliwa na Thomas Amang na Daniel Chukwu.

Baba yake alikuwa hodari sana miaka ishirini iliyopita. Alf Inge alichezea timu mbali hata huko uingereza, baina yake alikuwa kapteni wa Leeds na wachezaji pale walikuwa, Lucas Radebe, Lee Boyer, Jimmy Floyd Hasselbaink, Lee Sharpe, Gunnar Halle na Andy Kewell.
Mwishoe ali jiunga na City, na ndipo alijeruhiwa na yule mwenda wazimu wa Manchester United.

https://www.youtube.com/watch?v=qMWdnhJ8Hus