Habari Ndio Hio

Wakaazi wa Timbwani Likoni kaunti ya Mombasa wanalaumu tabia ya baadhi ya watu wenye mazowea ya kufanya mapenzi adharani katika ufuo wa bahari wa Shelly Beach eneo hilo.

Wakaazi hao wanasema tabia hiyo inaonyesha picha mbaya hasa ikizingatiwa kwamba ni ufuo unaopokea wageni mbalimbali kila wanapokuja kuzuru, na tabia hiyo inawaharibia sifa kwa wageni hao.

Akiongea na mwandishi wetu siku ya Jumatano, Osman Rashid mkaazi wa eneo hilo aliwaonja wenye tabia hiyo akisema pia inawaathiri watoto ambao mara kwa mara huenda kucheza katika ufuo huo.

“Sioni haja ya mtu kwenda kufanya mapenzi baharini tena adharani kabisa mchana, hata watoto wakicheza hapo wanaona kila kitu kinachoendelea na haileti picha nzuri kwa jamii," alisema Osman.

Inadaiwa watu hao huchukua fursa ya misitu inayopakana na ufuo wa bahari kutekeleza uovu huo na tabia hiyo imewakera zaidi wakaazi wanaosema wamewaharibia sifa kama mtaa wa likoni.

Aidha wanasema endapo watawakamata watu wakitekeleza vitendo hivyo watawashurutisha kutembea barabarani wakiwa uchi ili iwe funzo kwa watu wengine wenye tabia hiyo.[ATTACH=full]24577[/ATTACH]

DFKBHKM (dryfrykwabeashhadikwamkia):slight_smile:

3 Likes

@Supu don we have to change our plans.:oops::frowning:

in the coconut tree it is.:rolleyes:

2 Likes

On top ama hapo Chini?

Happens all the time ata kwa maji

1 Like

huko juu of course!. So i can bust a nut :slight_smile:

10 Likes

But seriously, they say water is the worst lube, so how do you use sea water, with sand particles and god-knows-what-else?
and for the chics, isnt it a problem pulling out sea-weed that has been really packed inside there after countless thrusts?

5 Likes

First time kujua watu wana dry fry kwa ocean hapo pirates sikuamini. But it is as common as the sand

2 Likes

Tell them.
Hakuna kazi ingine huendelea beach.

1 Like

[INDENT]
:eek::D:D[/INDENT]

Mnasema kwa beach. Kujeni swimming pool ya PCEA Makupa. Kudara waschana wa kisojo ati unawafundisha kuswim…:D:D:D

2 Likes

I remember some day, when I was young, and as carefree as a madman’s futhi, there was a beach party at Mombasa Beach. Unfortunately for Mombasa Beach, the planning had been very poor and the attendance was not more than 100. Sasa mimi I had a fly quail, whom I convinced that there was a better a way of spending an evening at the beach than watching/listening to kleptomatics. So we went to a secluded place and the he-goat I was, kazi ikaanza. As I was furiously pumping my way to kingdom cum, a relative of either @uwesmake or @pamba tapped my shoulder and said" poss, unaona ukifanyako nini". Damn, I fumbled my pocket( while gloriously pumping) and pulled whatever note came out first, and handed it to the bugger. Walai the dude was “endeleeeni vile mnataka, nawekako security hapa”, and actually ensured no one bothered us…On checking later, I found I had handed the dude 200bob. It was the best spent 200 bob in my life.

9 Likes

38/40
Well-done well done.
Pongezi huko shangwe na nderemo kwako.
Ikifika hapo mtu Apana taka jua.
Na hizo fudhi za mwendaa hahaha hio kali sana.

1 Like

Vusiru.