Habari yake Admin

Nimecome na kuni;) …tuwashe moto pande gani ?? ndio tusichome kijiji ::hii baridi imezidi :mad:[ATTACH=full]11514[/ATTACH]

1 Like

Ni asubuhi boss, unawasha moto ya nini?

Its cold guys…

@admin hajaamka bado. Anapokea morning glory.

2 Likes

moto itasaidia sana Chief, lakini inastahili serikali ichunguze kiini cha hii baridi

1 Like

This is the season ya wazee kutuacha so chief luwere luwere…

That’s the ansa right there, @admin anamkamua @Unicorn

anaeza kuwa pia anakamuliwa na @Atwoli

1 Like

I tend to differ, “Its a baby making weather”

@Unicorn, can you kindly clarify, Admin ako kwako ama ni wewe uko kwake?

Kwani unaishi limuru?

Karibu na huko

@Chiefkiumbe kula ugali moto na kahawa moto, kuni haziwezi saidia

Tafuta hoteli boss ukunywe chai Na kikombe ya fifteen

1 Like

Si hao wazee ndio wanadedi wanareincarnate as babies, ama?

@admin MIA, @Female Perspective MIA. Naona baridi ikitolewa na style

It’s very cold!!! Aki jay Uko?

Admin na unicorn…kutupiga mistari ndio zao

tulikuwa lodging.

Wewe utapigwa mutree hutapigwa mstari