Habari za hivi punde kuhusu Cristiano Ronaldo

Uhispania - Nyota wa Klabu ya Real Madrid na Nahodha wa Ureno Cristiano Ronaldo amehukumiwa kifungo cha miaka 2 na faini ya TZS bilioni 49.8 kutokana na makosa ya ukwepaji kodi nchini Uhispania. Hata hivyo Cristiano hatatumikia kifungo kutokana na kutokuwa na rekodi ya uhalifu na badala yake atalipa fedha hizo.

so hatacheza mchezo wa usiku?

Atakuwepo

marafiki kutoka tz,hamjamboo… remote na Kiswahili yaitwaje?

Kitanza mbali.

rahisi sana kaka
[ATTACH=full]176423[/ATTACH]

hahahah acha fujo zako wewe kijana

asanteni mayatima wa jamii forum…

Duh! When did Ktalk become EAC? Its been long kweli!

missed you sana guru

Sasa tuambie hizi ni ngapi kwa shillingi ya Kenya ama dollar ya kimarekani.
Hatutambui currency hafifu.

The ferkers are here and the deek measuring contest going on is epic.
Problem is it’s hard to ignore them since they are all over.

I have had issues karibu I inboxed u for your supplier’s number.:smiley:

Ofcourse +254 is the mightiest. Bongo lalas no way.

Jamaa wako makini sana masuala ya kodi hawataki utani

Maskini yeye… Magufuli atamruhusu abebe pesa za TZS bilioni 49.8?

Good thing they have their own section. Their form and normal kenyatalk form are very different. Let them maintain their purity of form.

Oooh. That’s good then. I can’t even look at it.

Oh my lowd why are you saying that? Hivi wakenya kumbe ukabila is this deep up to the International level?

FYI hata JF tulikua na Kenyan forums, Ugandan forums and others hata Nigerians walikua Rwandans too lakini hakukua na huu upuuzi wako unataka kuleta hapa, mxiiiiiiu by the way who cares for your appreciation on us

We actually don’t give a flying fuck so get lost

Vijitu vyenyewe shida zimewajaa mpaka makwapani hahaha

Firwa