Haha women though...mnaweza zidi pia

#1
Niko na boy wangu hapa tunachapa story na ananipea story ati kuna waschana wako na tabia flani!

Ati the girl would wake up earlier than the guy alafu anaenda anavaa make up alafu anarudi kwa bed anajifanya amelala so that when the guy wakes up pia mschana anajiamsha. Ati you can easily date a girl for six months bila kumuona without make up. And when she is confident that you are fully in love with her ndio unaamka vizuri beside a pregnant woman and you start asking yourself how you got in such an infamiliar situation unamwaga machoz...

Haha made my day! Anyone of you had such an experience!? Apparently its more common than you think!
 
Grundy

Village Sponsor
#9

Tp yangu imeisha na niko mbaya saidi....unaweza tuma rider aniletee kwangu?
 
XOLeX

Village Elder
#19
Niko na boy wangu hapa tunachapa story na ananipea story ati kuna waschana wako na tabia flani!

Ati the girl would wake up earlier than the guy alafu anaenda anavaa make up alafu anarudi kwa bed anajifanya amelala so that when the guy wakes up pia mschana anajiamsha. Ati you can easily date a girl for six months bila kumuona without make up. And when she is confident that you are fully in love with her ndio unaamka vizuri beside a pregnant woman and you start asking yourself how you got in such an infamiliar situation unamwaga machoz...

Haha made my day! Anyone of you had such an experience!? Apparently its more common than you think!
Si useme Ni wewe ilikupata , usiseme "my friend" kuwa Na BALLS
 
Top