Hahaha, Huku ni wapi?

[ATTACH=full]12740[/ATTACH]

2 Likes

Nyalenda in kisumu Hehehe

Hehehe! Hiyo ni kali! Ukishikwa ni kuuwawa tu!

mob justice ya wajaka usitake tamani hao watu na mawe… hata mtoi wao lastborn ule hufinya sembe vipoa akikurushia tu moja uko chini

3 Likes

made my day

So there is a section for next of kin on the ID?

http://www.armysurplusworld.com/custom/photos/waringsurvivorswillbeshot.jpg

1 Like

Haiwes kuwa nyalenda hapo kila mtu ni mkora

Kuna mgondi ashawahi pigwa mob na mjaka mmoja na alimuua, usicheze na hao watu

Mob ya mjaka na mkisii ni jinga sana.

That ain’t mob justice, that’s murder!