Hai internet in Mombasa

Tunafikiria about kale kaTCL Smart TV sasa. Kwetu Kisauni hakuna nZuku. Safaricom mnajua bei zao. Orange wameniambia speeds zao haziwezani na TV. So nimebaki na Hai pekee yake.
So nauliza, tafadhali, ikiwa wewe ni customer wa Hai, services zao ziko vipi? Hata kama uko kwingineko, naomba reviews zako, please.
Maneno ya peasants haya!

Hai ni gani tena
Bamburi sijaiona

Following closely

Wacha nikae ritho nifuate hii maneno…

https://home.hai.co.ke
MyHai Sign In
Hai HomeHome
https://home.hai.co.ke/images/ke/banner-fibroniks.jpg
[SIZE=4]Get Connected[/SIZE]

Watch this short video, it is a great outline of our services

https://home.hai.co.ke/videos/fibroniks.jpg

Hai-Waya
[ul]
[li]The fastest, most reliable service in the market today[/li][li]Get up to 100 mbps download[/li][li]No more buffering – Hai-Waya downloads stuff faster than you need it![/li][li]Always connected – your fibre straight to your house – no interference, no “broken” signal[/li][/ul]
Hai-Max
[ul]
[li]Stay connected at home with speeds of up to 2mbps[/li][li]Reliable connection allowing you to connect with the world[/li][li]Available if you live within one of our 75 transmission points[/li][/ul]

Hiyo link hapo juu. It was formerly Liquid Telecoms, I think.

Bei utaezana nayo?

Was reading up on it jana, they cover a bigger area in the county (Nairobi)
Shida ni KPLC wants to venture in that type of business too… I dont know how its going to play out

Angalia Boss, utasaidia sana ukitupatia your reviews and views. Iko sawa, bei, speeds, customer support services?

Unfortunately/fortunately mimi ni msee wa Zuku. But nilijaribu kucheki prices jo, nikakumbuka mimi sio Mbirrionea…

Huko Mombasa Island Zuku imetamba sana. Hata watu wa kusukuma mikokoteni wameweka Zuku fiber! Lakini, the buggers don’t regard that as a motivation to spread their services kila pahali!

Money is in the satellite Estates, waambie waje waone

Ama zuku pia wanaogopa wakali kwanza:D

Will give you a contact, see if he can assist. Anauza corporate na mwiturate!

Ni ile nilikuuliza juzi. Pia mimi nadai reviews before I take the plunge.

Mambo ya KP wachana nayo. They’ll most likely be a wholesaler.

Hizo speed za 100MPBS are they possible in Mombatha.
The speeds depends on how much you have. My company pays for internet for employees, at lower rates.
Hai is the consumer brand for Liquid Telecom, they are laggards at this internet thing. Its cheaper to buy your own radio (costs 10,000) and get a contract for internet connection

@Meria Mata na wengine with information, hebu jibu hii maswali ya Tia Dalma.

fibre cables hupitia mombasa kabla zifikishe net nairobi