Hakimu akataa kujitoa: Natabiri Mbowe et al kufungwa

Hakimu amegoma kujitoa, kwanini anang’ang’ania kusikiliza hiyo kesi? Hana nia njema, hakika tujiandae kwa kilio kikubwa. Huyu atawafunga bila faini.
Mtaniambi.

Ujinga ni mzigo. Hakimu Mkazi Mashauri hajagoma kujitoa isipokuwa sababu walizoomba ajitoe hazina mashiko ya kisheria. Hakimu au jaji hawezi kujitoa kama huna sababu zenye mashiko ya kisheria za kulalamika ajitoe. Ushabiki wa vyama usiwafanye kuwa vipofu wa akili na fikra

Anyway wataibuka wakina Mbowe wengi, wayahudi walipo muua Yesu walizani wamemaliza, there were very wrong, ndicho ccm wanachofanya, mnavyotumia nguvu Kubwa kuua upinzani ndivyo mnasambaza chuki zaidi na kupelekea ccm kuchukiwa zaidi, ni suala la muda tu.

Kesi/Shauri la msingi la wauaji Akwilina lilifutwa gafla kwa dhalula! ,Watanzania sio wajinga kiasi hiki! Nawashauri hakimu afute shauri hili,linaongeza chuki na mgawanyo wa Watz!

Maaagizo kutoka juu.utadhani ni lazima yeye kuendesha kesi kesi

Beki yeye!
Goalkeeper yeye!
Midfielder yeye!
Centre forward yeye!
Left winger yeye!
Right winger yeye!
Referee yeye!
Linemen 1, linemen 2 yeye!
Coach yeye!
Assistant coach yeye!
Shabiki yeye!

hahahaha

Ameahidiwa ujaji hivyo piga ua hawezi kujitoa

Wewe ndiye mjinga wa lumumba.

Tumia lugha safi, mimi sijatukana, nimeweka ninavyoona kutokana na uzoefu wa Sugu na wengine wa upinzani… from my long time experience and public checkability , nimeona hivyo… Unadhani hatujui sheria , at least we are informed. Unagagania kwanini. Mtu anasema una upendeleo, jitoe kwani wewe kungangania unapata faida gani. Soma hii kesi Lazima nikujibu hivi : Mjinga mama yako mpuuzi, pumbavu zako.

Umemjibu vizuri sana huyo choko wa Lumumba.

Nafikiri ilitosha kabisa kunitukana mimi binafsi sio kuingiza mzazi asipohusika.

Mpuuzi kama wwewe ndio wanaturudisha zama za kiza!! sheria haina jina la hakimu. Hata akijitoa sheria ni msumeno! Atakayekuja atafuata sheria hiyo hiyo! Hekima ukiona huaminiki ni kujitoa kuacha free and fair play. Lakini kwa vile mnaongozwa na mawazo ya huyo mwanaume wenu baasi kila kitu maagizo kutoka juu!! plain stupidity and rubbish

sawa, siku ingine jibu hoja bila matusi. Basi nafuta hilo la mzazi. samahani, hasira zilinipanda sana kunitukana. Pole kama nimekukwaza.

asante kwa kumjibu vizuri. Mtu anasema nini sikuamini, hutanitendea haki, why insist on hearing the case if you have no vested interest?

Unatafuta nini huku? Nenda JF kawatetee.

Nami nimesangaa anatafuta nini huku yeye si ni muumini wa jiwe na udikiteita wake, akae huko JF TZ amtetee.