Halotel siku ya 5 haiko hewani.

Leo siku ya 5 haiko hewani na ndio mtandao uliokuwa stable kwa maeneo haya .
Vipi huko kwenu

Je ttcl ipo vizuri nchi nzima?

Itakuwa haiko hewani kwa eneo ulilopo mimi hapa inasoma japo situmii kwa internet.

Tttcl ndio natumi ila speed yake iko ndogo sana like konokono.

speed yake iko ndogo sana like konokono.:D:D:D:D:D

Huku voda majanga mwendo wa Fiat

Iko vizuri huku kwetu…

Basi ina shida sehemu. Labda

Kitambo.

Upo namkuku nini mbona mimi yangu fresh tu

Upwapi?

mkuu hilo li ttcl nilijua ni kwangu tuu.yn linaboha hg natamani kutupa hili limoderm

Halotel mbona ipo hewan muda wote

Hivi ttcl ni kweli sasa hivi wanapatikana Tz yote?

Mbona iko Poa mkuu Angalia na settings za simu yako huenda Ni Tecno…Samahani lakini:p:p

ndo wamewasha leo rudi nyumbani mkuu kumenoga

Acha kuzarau simu pendwa kabisa ya watanzania

Ha ha haa

Inaonekana ni hili eneo lilipo kunashida
Labda mnara umecheza

Acha uzushi mkuu mbona Mimi Niko huku mkoa natumia halotel mpaka kwenye video streaming iko na speed ya light?

Tupa SIM card yao sawa.

:D:D ndio maana nikatanguliza Samahani mkuu

Au hilo ni eneo ambalo hadi upande juu ya mti…