Hamjamboni jioni ya leo.

Natumai mko salama ubheri wa afya. nawatakia usiku mwanana…

2 Likes

[ATTACH=full]90486[/ATTACH] karibu sana

2 Likes

karis unasumbua…

@Jirani @Jakoyo unayeugua @Kaswende UNASUMBUA

5 Likes

…Na Uwache kujifanya @ng’ombe

2 Likes

@admin unaeza acha kuchukua new members for the next three months ukipigwa mstari unakaa nje mpaka unasahau ktalk.Ii kupiga mstari mtu anarudi na handle mpya the next day

1 Like

Shukran lakini hapo skai

sultan mwitu, unaona bibi chako hapa ??

Niaje Sultan Mwitu

hehe kiti iko sawa

Mbona siwaelewi??

utaelewa tu ukipigwa mstari

Salama salmin kakangu. Lakini mimi si mwitu, ila sultan 001 originali mwenyewe

1 Like

Ulipata chakula leo, ama uliamua heri Bundles…tena…

1 Like

Mke wangu nipo nae hapa kitandani yuaniviringishia tu kama kawa

sawa bwana swidfil maakanje. sasa tulia hapo ungoje viti na orientation pale rm 254

Kwangu chakula kipo tele…

Sawa kaka. Nakusubiri hapo kwenye mlango wa hicho chumba cha orientesheni

Hebu tuelezee tatoo ya ubeti challo imechorwa tako lipi, na ni picha ya nani?

Skuelewi kaka!! Kwani we shoga ama? Mbona waulizia micharazo kwenye makalio yangu??