HAPA IKO SHIDA

Nlikuwa napitia pitia meffi pale kwa zukabaga nkapata hii… nkabaki kujiuliza shida ya hizi binadamu huwa nini haswa na kukopa wakenya?? Lakini sijui kama ni ukweki anachangisha[ATTACH=full]91866[/ATTACH]

1 Like

nita mtumia thao leo, moha ni mtu wa power tu sana

3 Likes

Mcoondu maji maji

Hio thao tafuta mgongo wazi moja mzuri au ombambla halafu tengeza Kuon moja wazimu sunday yako iboreshwe.Saitan!

7 Likes

Pia Kidero alichangisha

Mchango pap!

1 Like

Boniface amechangiwa ngapi so far?

mungich unasumbua, 1000 itanunulia ww mutura ya mwezi!

1 Like

Samaki au omena inapandwa?mshazoea vya bure…eti oooh serikali saidia Unga mboga iko unga onge.Saitan.

kwani tuna ombanaga mamako?

1 Like

Huyu sonofa si ati hana Dow. The fool cannot risk spending his life savings to engage in politics and would rather beg for donations.

1 Like

Kati ya bonface mwenye ana changisha na waiguru uta pea nani kura yako?

1 Like

foolish NV kaa pale kwanza

Won’t be voting, but why would I vote for Waiguru?

2 Likes

Chokosh pana tambua

:D:D:D
Saitan.

lakini huyu Moha kwao ni wapi?

Si munasemanga sirkal ni baba na mama…Ifuo saitan.

Hukoooo, dust bowls za Isiolo.

si aende akavie huko asaidie mandugu zake. Anajua vile Nyali inakaa kweli? or he just wants to ride on ODM’S popularity there.

1 Like