Hapa ndio ma Deejay ukosania

[ATTACH=full]224866[/ATTACH]most deejays no nothing about sound engineering and those who know will always start adjusting knobs irregardless of the sound equipment they’re using na hapo ndio shida ina anzia.

12 o’clock is always safe but it’s best if you start your knob at 7 o’clock to gauge the equipments that are installed.

Juzi kuna “dj” kwa function alipiga binja kwa microphone akapasua twitter nne mara moja. Nikajiuliza kama “dj” huwa na training standard ama “dj” ni jina la kubandika.

Mwenye PAS aliniambia hizo twitter ni 2k each.

:D:D:D na si congratulation ilipasuka ear drums …Hiyo ni bangi

Kama ni zile horns ni 2800. Uzuri ni ati they can be replaced ata function iki Endelea.
Kuna ma deejay bandika, sasa Kama Uyo ajui mambo ya highs and mids

:D:D:D:D:D

One does not need a sound engineering degree to know that the starting point should be zero on all inputs and outputs, and all switches at line level to avoid feeding hot signals to the mixer.

Turushie live mix moja hapa tuskize kwanza

Halafu. Haelewi.

Unapata dj ngoma kumix ako sawa. Mpaka kudance mtadance hata wakongwe mtajirusha tu.

Lakini kubalance microphone kwa mtu akiongea?

Dj amekalia mixer na watu wakiongea aspecially wamama unasikia feedback ya highs baada ya karibu kila sentensi. Ikizidi unga speaker zote zinascream kama king’ora. Na ameketi tu hapo kama nongwe anaangalia mixer kaa watchman.

Alafu?

He?

Tufanye comparison na hawa wengine kwa market

Next time acha apasue Facebook hizo ni bure

Due to lack of employers willing to pay better, most and almost anyone with virtual Deejaying skills thinks he/she can be a DJ making it an avenue for all sorts of quacks. Nikiwa bado college kushawai kuwa na after party harusi na Dj hakuna, mimi na laptop yangu nikaitwa nika dj mpaka late hours na ku pata through pass ya GMO swaffi.

Those djs ni jina tu hakuna class ya sound waliingia bure kabisa

mimi ukiguza equalizer ya jalopy unashukia hapo hata kama ni southern bypass

meant “Congregation”:smiley:

:smiley: :smiley: hii imeniwahi mbaya. Shida ya autocorrect.

Tweeter hazifai kupasuka ovyoovyo, lazima crossover ilikuwa set vibaya.

Crossover ni nini?

Electronic device inatumika kwa filtering sound ndio high frequency zinatumwa kwa tweeter, mid frequency kwa mid range na low frequency kwa Sub woofer.