Hapa ni mwendo wa rula tu

Naomba kuwasilisha[ATTACH=full]178202[/ATTACH][ATTACH=full]178203[/ATTACH]

Duh! Adi dagaa

Hapo ndipo nchi ilipo fikia…tehteehhh

Hatari sana

It’s time we evaluate our collective intelligence. Inasikitisha.

[ATTACH=full]178540[/ATTACH]

:D:D:D:D:D:D:D:D @Ushimen hahahahaaha

Na hapo ndipo nilipo gundua tofauti kati ya akili na ujinga ni kuwa, akili ina kikomo, ujinga hauna kikomo

ati!
Halafu huku mods naona hawabani sana. na maneno yote ukiandika hakuna neno la kuleta nyota nyota kama ***** ambazo kule home kuna maneno ukiandika lazima yafichwe

Rula

aisee kweli ni mwendo wa Lula tu

Tafadhalini wandugu, pima urefu wa dagaa kabla ujakula.