Hii nchi truck drivers ndio the biggest contributors wa road carnage lakini KTA hulipa media na hao kina ntsa sijui kuficha madhambi yao.
Ndio maana hawajali kwa sababu wanajua mambo yatafichwa na ikija ni wewe ama mwenye trela akupishe njiani ,ole wako jamaa atakulima bila huruma ama akuskume nje ya barabara.
Changanyisha mirungi, azam energy drink, faxe, kukosa usingizi, uchovu, kunyandua malaya njiani kila mji ndo maana kuna shida kubwa na haya magari.
Ijapo watachukuliwa hatua barabara zitapunguza ajali,
Wengine ni wenye pikipiki. Matata kweli vijana hawaogopi Kifo.