Hapa si owners wa breakdowns hunukisha kitunguu kama ghaseer?

That accident within the first three minutes of this video, magari kama twedi fae ziko involved. That’s a MAJOR accident, I don’t remember coming across it on chochio media. To those who watch TV, were you aware ama festive season ni kila mtu ajipange?

https://www.youtube.com/watch?v=jm4n6i8XiBQ

I actually watched the entire thing. Wtf is wrong with Kenyans? Truck drivers are like a cancer.

This dude is brave mimi nawacha bike

Barabara ya Maai Mahiu ni swara

People say nduthi riders are reckless, but this shows things from their perspective as well. Generally, all road users are to blame.

Watu ya nduthi wanadharauliwa ni aje

This particular rider is a sane rider and does it as a hobby. Kuna wale wako pale mtaani akili mbaya kabisa. Reasoning ilipotelea kwa choo.

Hii accident inaeza fanya jama akome hii barabara

When Darwin gives an AWARD, just know that the AWARD is MERITED…

Hii nchi truck drivers ndio the biggest contributors wa road carnage lakini KTA hulipa media na hao kina ntsa sijui kuficha madhambi yao.
Ndio maana hawajali kwa sababu wanajua mambo yatafichwa na ikija ni wewe ama mwenye trela akupishe njiani ,ole wako jamaa atakulima bila huruma ama akuskume nje ya barabara.
Changanyisha mirungi, azam energy drink, faxe, kukosa usingizi, uchovu, kunyandua malaya njiani kila mji ndo maana kuna shida kubwa na haya magari.
Ijapo watachukuliwa hatua barabara zitapunguza ajali,
Wengine ni wenye pikipiki. Matata kweli vijana hawaogopi Kifo.

Nimejiona…

I always overtake ka kuna oncoming nduthi… assuming that nduthi inafaa ijitafutie njia

Hii festive season karibu nikufe mara mbili on the same day kisha it was christmas. Gari ni sumu wadau.

This one I have to comment. Since the days of Klist I have told you people over and over and over and over again that the problem with this country is NOT the leaders, but ourselves.

I would like anybody to watch this clip in its entirety and then come here pontificating about ‘leaders’.

Mimi naeza suspend all travels for the foreseeable future.

Kenya kuride bike ama nduthi needs some steel balls , argued with friend who liked to cycle about it mpaka siku ile aliskumwa na matau za rongai kwa mtaro dude was lucky he broke nothing jamaa hajawai panda tena mt bike yake nairobi !
Mai mahiu I always see idiots overlapping kwa blind corners nashindwa haraka niya nini, the thought of choosing between a truck and escapement sitaki

A land where if you abide by the law you’re the problem. And in this case, it will even get you killed.

Ata mimi wakati cheki maneno ilikua imechangamsha kijiji nilikuwa natamani kubuy mountain bike, but every month I’d read about an accident and back off. Hiyo inataka zile estates za ndani ama ocha.

Too true Huku youstop at a red light the chimps behind you start honking !
here is the anatomy of a 10 lane gridlock, so ur in traffic everybody seems to be obeying the law no overlapping , then on ur left side a baboon in a GK vehicle starts the madness, jamaa wa ma3 are close behind him , jamaa wa subaru awachwe wapi ? next thing you know u are in traffic for 4 hrs twitting for help and what happens when cops show up ? the overlappers are given priority !

Wewe utakufa ju ya lanye kushuta halafu air bubble ya mshuto iend up kwà brain

Me too. Something I have noticed is that kenyan drivers don’t respect nduthis and vice versa.
Unaona hata hizo gari Zina overtake coz wanaona nduthi inaweza songs to the curb. Ingekuwa ni gari inakuja hazingefanya hivyo

Very true. Very very true.